Uvamizi wa nyani wasababisha hasara kwa wakazi wa Osala, Kisumu
Description (show more)
Wakazi wa kijiji cha Osala katika kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara ya mali kufuatia uvamizi wa nyani katika eneo hilo. Mazao mashambani yameharibiwa huku baadhi ya wakazi wakipata majeraha walipojaribu kuwafurusha wanyama hao. Wakazi hao wanasema licha ya mifumo ya fidia kutoshughulikia uharibifu wa mali au majeraha yanayosababishwa na nyani na tumbili, wanahitaji usaidizi wa dharura ili kukabiliana na hali hiyo na kuzuia hasara zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:03Broad-based leaders defend “Usawa ni Sawa” message
4:53Jakom ODM Gladys Wanga osiro ajenda mar 'Usawa ni Sawa' | #RamogiTV
4:40KTN EXCLUSIVE: Inside the 390-Page Bomas Contract as Project Cost Hits KSh41.9 Billion
· 34 views
4:19Kalonzo rejects joining the Kenya Kwanza administration
· 4 views
4:11Rescue operation at collapsed Eastleigh building enters its tenth day
· 16 views
24:52Earthwise | Exploring Kenya's new livestock microchip tag and real-time national database
· 104 views
2:34University ya Embu gwĩkĩrĩra gũkũria kĩgĩna gĩa gũteithia arutwo arĩa matehotete
· 16 views
31:02CITIZEN NIPASHE WIKENDI ~ 1ST NOV , 2026
· 16.5K views
