Kenyans Live

Maadhimisho ya siku ya huduma kwa jamii duniani yafanyika katika kaunti ya Mombasa

Description (show more)

Maadhimisho ya siku ya huduma kwa jamii duniani yamefanyika katika ukumbi wa maonyesho ya kimataifa ya kilimo huko Mombasa huku wadau wakitaka jamii kutowapuuza watoto wenye changamoto za ulemavu.

Share: