Kenyans Live

Walimu wa KNUT kaunti ya Turkana walalamikia maandalizi ya uchaguzi wa viongozi

Description (show more)

Walimu wanachama wa Muungano wa walimu KNUT Turkana wanaotarajia kuelekea kwenye uchaguzi jumamosi kuteua viongozi watakaowahudumia,wamejitokeza kulalamikia jinsi zoezi zima la matayarisho na uchaguzi inavyoendeshwa.

Share: