Kenyans Live

USIU-Africa yaadhimisha mahafali ya 48

Description (show more)

Chuo Kikuu cha USIU-Africa kimeadhimisha mahafali yake ya 48, ambapo wanafunzi 1,655 wamehitimu kwa shahada za uzamifu, uzamili na shahada za kwanza.

Share: