Kenyans Live

Wanachama wa Jubilee wataka viongozi wakuu kuzima migogoro

Description (show more)

Wanachama wa Chama cha Jubilee katika Kaunti ya Kajiado wamewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya matamshi wanayodai yanamlenga rasi mstaafu Uhuru kenyatta. Wanachama hao pia wametoa wito kwa viongozi wa Jubilee kumaliza migogoro ya ndani ya chama, wakitaka haki za katibu wa chama hicho Ole Kenta ziheshimiwe.

Share: