Askofu Kodia awakosoa viongozi wa upinzani Bondo
Description (show more)
Askofu wa Kanisa la Kianglikana David Kodia kwa mara nyingine amewafokea viongozi wa upinzani kwa kile anasema ni kuzindua vyama vingi vya kisiasa visivyo na mwelekeo. Akizungumza wakati wa ibada iliyohudhuriwa na wanasiasa wa muungano wa Ukombozi wakiongozwa na Kalonzo Musyoka huko Bondo, Askofu Kodia amesema upinzani umeshindwa kutilia maanani mambo wanayotaka Wakenya. Chrispine Otieno anaarifu kuhusu haya na siasa zilizojiri kwenye ibada hiyo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
45:23
1:13:36Dowry: A Price Tag Or A Token Of Cultural Appreciation? || TV47 Breakfast || 04.11.2026
· 1 views
28:31🔴LIVE || VUTA STOOL || TV47KENYA
· 1.6K views
46:55Curbing Road Accidents: What Kenya Must Do | Dr Duncan Kibogong
· 68 views
25:37National Leaders or Tribal Politicians? || TV47 Breakfast || 04.11.2026
· 236 views
1:59Odede: Gachagua’s numbers game sidelines smaller parties in Opposition power-sharing talks
· 53 views
3:52Gitau: Gachagua: Numbers will determine who shapes the next government!
· 206 views
44:25🔴LIVE || MEZESHA || TV47KENYA
· 1.1K views
