Mahujaji 17 waangamia katika ajali Salama
Description (show more)
Tunaanza na taarifa za tanzia, ambapo waumini wa Kanisa Katoliki wanaomboleza kifo cha mahujaji 17 walioangamia katika ajali mbaya ya barabarani eneo la Salama, Kaunti ya Makueni. Mahujaji hao walikuwa wametoka Mombasa wakielekea katika Madhabahu ya Subukia, Kaunti ya Nakuru, kwa ajili ya maombi ya kitaifa. Kulingana na Brenda Wanga, ajali hiyo ilitokea katika eneo hatari la Kilima Kiu, ambalo limeendelea kushuhudia vifo kutokana na ajali za mara kwa mara.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 964K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 813 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 505 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 455 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
