Kenyans Live

Wakazi wa Bissil, Kajiado wakumbwa na uhaba wa maji huku bei ya mtungi ikipanda hadi Shilingi 50

Description (show more)

Wakaazi wa eneo la Bissil, katika Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku bei ya mtungi mmoja wa lita ishirini ikipanda kutoka Shilingi 10 hadi Shillingi 50.

Share: