Serikali yachunguza udongo kulainisha usambazaji mbolea ya ruzuku
Description (show more)
Ununuzi na usambazaji mbolea ya ruzuku utategemea matokeo ya uchunguzi wa udongo unaoendelea katika shirika la utafiti wa kilimo na mifugo. Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe anasema sampuli zaidi ya 3,000 za udongo kutoka kote nchini zimekusanywa kwa uchunguzi kama sehemu ya mkakati unaolengwa kupunguza gharama ya pembejeo na kuongeza uzalishaji. Taarifa hii na nyingine ni kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
