Kenyans Live

Mkewe naibu rais Joyce Kindiki awataka vijana kuongoza katika sera za hali ya hewa

Description (show more)

Mke wa naibu rais, dkt. Joyce kithure, amewasihi vijana kuchukua nafasi ya mbele katika kuunda sera za hali ya hewa na kuendeleza suluhu za kimazingira kote nchini

Share: