Kenyans Live

Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui wahimiza Wakamba kumuunga mkono Ruto

Description (show more)

Viongozi wanaounga mkono serikali ya kenya kwanza kaunti ya kitui wameirai jamii ya Wakamba kumuunga mkono rais willima ruto kwenye azma yake ya kuchaguliwa kwa awamu ya pili.

Share: