Kenyans Live

Wakulima watakiwa kukumbatia kilimo asilia

Description (show more)

Hitaji la mazao asilia humu nchini linazidi kuongezeka huku watumiaji bidhaa wakitazamia kukumbatia vyakula ambavyo ni salama na vyenye lishe. Akizungumza wakati wa makala ya nne ya warsha ya mifumo thabiti ya kitaifa kuhusu ushiriki, wakulima wa asilia wametoa wito wa uimarishaji wa sera ili kuipa mazao asilia utambuzi wa soko na kuhakikisha uwepo wa mfumo ambao unaweza kupiga jeki uzalishaji thabiti na upatikanaji wa chakula humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: