Kenyans Live

Mahakama yalalamikia uhaba wa fedha za maandalizi ya uchaguzi mkuu

Description (show more)

Idara ya Mahakama inalalamikia uhaba wa fedha za kuiwezesha kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Jaji Mkuu Martha Koome amesema wanahitaji fedha zaidi kuimarisha maarifa na shughuli za kushughulikia kesi za uchaguzi. Akizungumza huko Shanzu, Koome aliwaonya wanasiasa dhidi ya kujihusisha na siasa za uhuni.

Share: