Kenyans Live

Kaunti ya Kwale yawekeza Sh35.5 milioni katika vifaa vya vyuo vya kiufundi

Description (show more)

Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amezindua rasmi ugavi wa vifaa vya kazi vyenye thamani ya shilingi milioni 35.5 kwa vyuo vyote 43 vya kiufundi ndani ya kaunti hiyo.

Share: