Kenyans Live

Wakazi wa Kishushe kaunti ya Taita Taveta waitaka serikali kusitisha upimaji wa ardhi

Description (show more)

Wakazi wa Kishushe eneo bunge la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta sasa wanaitaka serikali kuu kusitisha zoezi la upimaji wa shamba la Kishushe B wakisema baadhi ya wanasiasa wamejipatia ardhi kinyume cha sheria.

Share: