Kenyans Live

Dunia Wiki Hii I 3rd October 2026 I Watu 11 waaga dunia kufuatia ajali nchini Afrika kusini

Description (show more)

Katika makala ya Dunia Wiki Hii ……….. Rais Donald Trump alisema alipinga pendekezo la Iran lenye masharti kuhusu kufunguliwa tena kwa mapito ya baharini ya Hormuz huku Iran ikisema kuwa yangefunguliwa katika muda wa siku saba iwapo masharti hayo yangetimizwa. Ulimwengu waasherehekea sherehe ya kichina ya katikati ya majira ya kupukutika kwa majani. Watu 11 waaga dunia huku wengine wanane wakijeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo na lori nchini Afrika kusini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News

Share: