Kenyans Live

Kindiki azitaka jamii Mlima Kenya kuheshimu uamuzi wa wazee

Description (show more)

Naibu rais Kithure Kindiki amewatadharisha wanasiasa kutoka eneo la Mlima Kenya dhidi ya kukaidi ushauri wa wazee wa jamii kuhusu umoja wa eneo hilo. kindiki hali kadhalika ameahidi kuongoza vita dhidi ya pombe haramu ambayo inatishia maisha ya vijana wengi katika eneo hilo. Aliyasema hayo wakati wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kaunti za Nyeri na Meru. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: