Kenyans Live

Gachagua akutana na vinara wa Linda Mwananchi kujadili ushirikiano wa kisiasa

Description (show more)

Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, leo amekutana na wanasiasa wa Linda Mwananchi nyumbani kwake Wamunyoro, baada ya kurejea nchini kutoka ziara ya zaidi ya mwezi mmoja nchini Marekani. Mkutano huo ulilenga kujadili mikakati ya ushirikiano kati ya Linda Mwananchi na DCP kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Kwa mujibu wa ripoti kuhusu mkutano huo, vinara watatu wametajwa kuwa miongoni mwa wanaoweza kuwania urais dhidi ya Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Kamau Mwangi ana mengi zaidi.

Share: