Kenyans Live

Rais Ruto ahudhuria kongamano la kibiashara baina ya Urusi na bara Afrika

Description (show more)

UFANISI WA KIKANDA Rais William Ruto ametangaza Kenya kuwa lango la Urusi kuafikia uwekezaji na teknolojia katika kanda ya Afrika Mashariki na kufungua fursa katika nyanja za akili-unde, miundombinu ya kidijitali na ajira ya ujuzi. Rais Ruto aliyasema hayo jijini Moscow ambapo Urusi iliahidi kuunga mkono azma ya bara Afrika ya kushinikiza mageuzi katika muundo wa ufadhili wa kimataifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: