Kenyans Live

Wenye matatu waongeza nauli kwa asilimia kumi

Description (show more)

Wakenya sasa watalazimika kulipa gharama ya juu ya nauli baada ya wahudumu na wamiliki wa matatu kusema bei zitapanda kwa asilimia 10. Uamuzi huu ukifuatia tangazo la la halmashauri ya kawi na petroli ambapo petroli ilipanda kwa shilingi 12, dizeli kwa shilingi 9 na mafuta taa kwa shilingi 28.

Share: