Kenyans Live

Murkomen aongoza uteketezaji wa dawa za kulevya za Sh8bn Mombasa

Description (show more)

Waziri wa Usalama Kithchumba Murkomen leo ameongoza shughuli ya kuteketeza dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh8 bilioni katika Kaunti ya Mombasa. Waziri Murkomen amewaonya walanguzi wa dawa za kulevya, akisema serikali itawalenga pamoja na mali wanazomiliki.

Share: