Kenyans Live

Rigathi Gachagua asema waathiriwa wa mauaji ya mifugo Samburu wanapaswa kulipwa fidia

Description (show more)

Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameishutumu serikali kwa kile alichodai kuwa ni kuilenga jamii ya Wasamburu, baada ya mamia ya mifugo ya jamii hiyo kuripotiwa kupigwa risasi katika tukio la wiki iliyopita huko Samburu, wakati wa operesheni ya polisi ya kudumisha usalama.

Share: