Kenyans Live

Polisi kaunti ya Nyamira wachunguza mauaji ya wanandoa katika Kijiji cha Enchoro

Description (show more)

Polisi kaunti ya nyamira wameanzisha uchunguzi wa mauaji ya mwanaume na mkewe, waliofumaniwa na kukatwa kwa mapanga katika kijiji cha enchoro jumamosi jioni

Share: