Kenyans Live

Wanafunzi zaidi ya 70,000 wa chekechea Nakuru kunufaika na sare kuanzia 2027

Description (show more)

Wanafunzi zaidi ya 70,000 wa chekechea katika kaunti ya Nakuru watanufaika kwa kupewa sare kuanzia Januari 2027 ambazo zitashonwa na taasisi za ufundi.

Share: