Kenyans Live

Wahudumu wa afya ya umma na usafi waandamana Nairobi

Description (show more)

Wahudumu wa afya ya umma na usafi wameandamana jijini nairobi wakiishinikiza serikali kutekeleza mkataba wa makubaliano na kutia saini mpango wa kurejea kazini.

Share: