Kenyans Live

Wakazi wa Chepsaita wasema mbio za nyika zimebadili maisha yao kupitia upatikanaji wa maji

Description (show more)

Makala ya nne ya mbio za nyika za Chepsaita yanapokaribia, wakazi wa kijiji cha Chepsaita eneo bunge la Turbo kaunti ya Uasin Gishu, wana matarajio tele,wakisimulia jinsi makala ya awali yalivyobadili maisha yao kwa kuwawezesha wanakijiji kukata kiu ya maji kwa urahisi kinyume na ilivyokuwa awali.

Share: