Kenyans Live

ODM yasistiza masharti ya ushirikiano na Ruto

Description (show more)

Chama cha ODM kimesisitiza kuwa uhusiano wake na Rais William Ruto lazima uongozwe na masharti yake, yakiwemo kutengewa nafasi ya naibu rais. Viongozi hao wamesema chama chao kina nguvu nchini na kumtaka Rais Ruto kukitengea nafasi ya pili katika uongozi. Fujo zimeshuhudiwa huku siasa za ugavana Nairobi zikishamiri, mkutano huo ulipokaribia kukamilika.

Share: