Kenyans Live

Ifahamu China: Setilaiti ya wanafunzi

Description (show more)

China imerusha angani setilaiti ya kwanza iliyotengenezwa kwa ushirikiano na wanafunzi wa shule za sekondari. Setilaiti hiyo inatarajiwa kufanya majaribio ya kisayansi angani ikiwemo upigaji picha pamoja na uchunguzi wa hali ya anga. Taarifa kamili ni kwenye makala ya ifahamu china. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: