Kenyans Live

Wafugaji Kapiti wapata hasara kutokana na mashambulizi ya wanyamapori

Description (show more)

Wafugaji katika eneo la Kapiti, mpakani mwa kaunti za Machakos na Makueni, wanaendelea kupata hasara kutokana na mashambulizi ya wanyamapori wanaovamia maboma yao kutafuta maji.

Share: