Kenyans Live

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen asema usalama wa taifa ni wa wananchi wote

Description (show more)

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen anasema suala la usalama wa taifa linahusisha wananchi wote. akihutubia hadhira katika chuo cha kitaifa cha ulinzi mtaani karen kuhusu masuala ya usalama wa taifa, Murkomen amesikitishwa na maandamano ya gen z yaliyosababisha vifo mwezi juni mwaka wa 2024.

Share: