Kenyans Live

Kaunti ya Embu yaanzisha vituo vya huduma za magonjwa yasiyoambukiza katika wadi zote 20

Description (show more)

Kaunti ya Embu imeanzisha vituo maalum vya huduma za afya kwa magonjwa yasiyo ya kuambukizana katika wadi zote 20, hatua inayolenga kuimarisha utambuzi wa mapema, matibabu na udhibiti wa magonjwa hayo.

Share: