Magatuzini I Vyama vya wafanyikazi vinaihimiza serikali kuharakisha uidhinishaji wa mkataba wa ILO
Description (show more)
Vyama vya wafanyikazi katika sekta ya umma vinaihimiza serikali kuharakisha uidhinishaji wa mkataba nambari 190, wa shirika la Leba duniani (ILO), ambao unalenga kuwalinda wafanyikazi dhidi ya dhuluma na unyanyasaji. Akizungumza jijini Nairobi, katibu mkuu wa chama cha watumishi wa umma humu nchini, Lawrence Nyaguti, alisema kuwa licha ya mafanikio yaliyopatikana kufuatia agizo la Rais William Ruto la siku ya leba mwaka 2025, Kenya bado haijaidhinisha mkataba huo. Mengi zaidi ni katika mseto wa kaunti Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:03Broad-based leaders defend “Usawa ni Sawa” message
4:53Jakom ODM Gladys Wanga osiro ajenda mar 'Usawa ni Sawa' | #RamogiTV
4:40KTN EXCLUSIVE: Inside the 390-Page Bomas Contract as Project Cost Hits KSh41.9 Billion
4:19Kalonzo rejects joining the Kenya Kwanza administration
4:11Rescue operation at collapsed Eastleigh building enters its tenth day
24:52Earthwise | Exploring Kenya's new livestock microchip tag and real-time national database
2:34University ya Embu gwĩkĩrĩra gũkũria kĩgĩna gĩa gũteithia arutwo arĩa matehotete
2:59