Kenyans Live

Uchaguzi mdogo wa wadi ya Migwani wasimamishwa

Description (show more)

Mahakama kuu imetoa agizo la muda la kusimamisha uchaguzi mdogo wa wadi ya Migwani huku mkinzano wa kisheria unaoghubika ofisi ya katibu wa bunge la kaunti ya Kitui ukitokota. Mahakama iliagiza kuwa shughuli zote za maandalizi ya uchaguzi huo mdogo zisitishwe hadi kesi inayodadisi uhalali wa wadhifa wa katibu wa bunge la kaunti ya Kitui itakapotatuliwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News

Share: