Kenyans Live

Wakazi wa Pwani wataka Bunge likatae mpango wa kuvunjwa kwa mamlaka ya maendeleo ya Pawani (CDA)

Description (show more)

Wakazi wa Pwani wamelitaka bunge la kitaifa kukataa mipango ya kuvunjwa kwa Mamlaka ya Maendeleo ya Pwani (CDA), wakisema kuwa eneo hilo linahitaji uratibu imara wa maendeleo ya kikanda.

Share: