Kenyans Live

Mwanafunzi wa kidato cha nne apatikana amefariki nyumbani Molo

Description (show more)

Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 wa kidato cha nne amepatikana amefariki katika nyumba ya familia yake eneo la moto, molo, katika tukio ambalo polisi wanashuku kuwa ni shambulio la kikatili.

Share: