Kenyans Live

Viongozi Kericho wataka DCI kuchukua hatua dhidi ya maafisa wanaodaiwa kushirikiana na wahalifu

Description (show more)

Viongozi katika kaunti ya kericho wanamtaka Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi Mohammed Amin, kuchukua hatua dhidi ya maafisa wa idara hiyo ambao wanadaiwa kushirikiana na wahalifu.

Share: