Kenyans Live

Wakazi wa Uasin Gishu wamepongeza hatua ya Kenya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Dunia ya Riadha 2029

Description (show more)

Wakazi wa Uasin Gishu wamepongeza hatua ya Kenya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Dunia ya Riadha 2029. Wakizungumza Eldoret, wametoa wito kwa waandalizi kuwapa nafasi wanariadha wachanga kutoka eneo hilo kuonyesha vipaji vyao, huku Bonde la Ufa likitambuliwa kama ngome ya wanariadha walioliwakilisha Kenya na kushinda medali mbalimbali.

Share: