Kenyans Live

Gor Mahia yaongeza pengo kileleni mwa ligi hadi pointi tano

Description (show more)

Timu ya Gor Mahia imefungua pengo la pointi tano kileleni mwa Ligi Kuu ya Kandanda baada ya kuichapa Kakamega Homeboyz bao 1-0 katika uwanja wa Bukhungu. K’Ogalo imeshinda mechi zote nne tangu kuanza kwa Ligi Kuu ya Taifa mapema mwezi huu.

Share: