Kenyans Live

Madereva waonya kuhusu hatari za usalama barabara kuu ya Nairobi-Nakuru-Eldoret

Description (show more)

Barabara kuu ya nairobi kuelekea nakuru na kisha kuelekea eldoret ni miongoni mwa zile zenye shughuli nyingi zaidi nchini. Hata hivyo, madereva wa masafa marefu wanaonya kuwa ukosefu wa alama za kutosha barabarani, matuta yasiyoonekana kwa urahisi na malori yanayoegeshwa kando ya barabara zinaendelea kuhatarisha usalama wa wanaotumia barabara hizi.

Share:
#iNooroTVLive11:54:58

#iNooroTVLive

Inooro TVVernacular
· 102K views