Kenyans Live

Muuga FM yaadhimisha miaka 21 kwa kambi ya matibabu ya saratani

Description (show more)

Muuga FM imeandaa kambi ya matibabu ya saratani huko Igoji, Kaunti ya Meru, ikiwa ni mojawapo ya shughuli za kuadhimisha miaka 21 tangu kuanza kwa matangazo yake.

Share: