Kenyans Live

Washukiwa watatu wa uvamizi wa All Saints Cathedral waachiliwa baada ya mashtaka kuondolewa

Description (show more)

Washukiwa watatu waliohusishwa na uvamizi wa Kanisa la All Saints Cathedral mwezi Juni wameachiliwa baada ya upande wa mashtaka kuondoa mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili. George Omondi, Effernburg Wanyama na Fredrick Omondi waliachiliwa baada ya kuzuiliwa rumande kwa miezi mitatu, baada ya kushindwa kupata fedha za kulipa dhamana ya Shilingi 300,000. Watatu hao pia waliachiliwa baada ya Kanisa la All Saints Cathedral kuwasilisha barua kwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma likiomba vijana hao waondolewe mashtaka.

Share: