Kenyans Live

Viongozi wa Makueni wakosoa ziara ya Ruto Ukambani

Description (show more)

Viongozi kaunti ya Makueni wamepuzilia mbali ziara ya rais Wiliam Ruto eneo la ukambani wakiitaja kama iliyokuwa ya kisiasa na sio maendeleo .viongozi hao wanasema rais alifaa kuzuru na kuangazia kwa kina miradi muhimu kama vile ujenzi wa bwawa la Thwake ,ujenzi wa mji wa kisasa wa Konza na hata upanuzi wa barabara kuu ya Mombasa kuelekea Nairobi wanayosema imekuwa hatari kwa wasafiri.Aidha wanasema kinara wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka atasalia kwenye upinzani.

Share: