Kenyans Live

Wahadhiri Egerton wajiunga na mgomo wa kitaifa

Description (show more)

Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Egerton katika Kaunti ya Nakuru wamejiunga na wenzao kote nchini katika mgomo wa kitaifa wa wahadhiri, kufuatia kutofikiwa kwa makubaliano kuhusu Mkataba wa Makubaliano (CBA).

Share: