Kenyans Live

Hospitali ya Rufaa Bungoma yakabiliwa na uhaba wa damu

Description (show more)

Hospitali ya Rufaa ya Bungoma inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa Damu, suala ambalo limetajwa kuwa hatari kwa akina mama wajawazito na wagonjwa wa Selimundu.

Share: