Kenyans Live

Kituo cha mifugo Bachuma kaunti ya Taita Taveta kuboreshwa kwa uwekezaji wa kibinafsi

Description (show more)

Serikali kupitia wizara ya kilimo na ufigaji sasa imepata mwekezaji wa kibinafsi ambaye atasimamia kituo cha wanyama ambao watasafirishwa katika mataifa ya kigeni eneo la Bachuma kaunti ya Taita Taveta.

Share: