Biashara I Wanawake wajasiriamali wahimizwa kupanua wigo
177 viewsYouTube
Description (show more)
Wanawake wajasiriamali wamehimizwa kupanua wigo wa biashara zao nje ya taifa hili na kuchukua fursa zilizopo kuuza bidhaa zao kwenye mataifa ya bara Afrika. Katibu katika idara ya biashara Regina Ombam amesema kufanya hivyo kutarahisisha biashara baina ya mataifa ya bara Afrika kwa kuondoa vikwazo na kufungua masoko zaidi. Taarifa hii ni miongoni mwa zile tulizokuandalia kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
10:25Neltuma: The ‘Poisoned Chalice’ Threatening Water Sources and Livelihoods in ASAL Regions
· 1 views
4:26Inside the new Talanta Stadium
· 7 views
1:03Harambee Stars name squad for Bafana Bafana
· 2 views
1:05:44LIVE | OIMORE | 01/11/2026
· 3 views
1:35Kenya Baseball5 Team Stuns France and Mexico to Reach Youth Olympic Games Semifinals
· 8 views
1:50Jasmine Okande Wins Girls’ 50m Breaststroke at Nairobi Swimming Championships
· 6 views
1:25BESBOL: Kenya ochako maber e tuk besbol e olimpik
· 1 views
2:41Ngei Primary School Unveils New Football and Basketball Facilities
· 1 views
