Kenyans Live

Utepetevu wazua hofu ya Ebola mpakani Busia na Uganda

Description (show more)

Utepetevu katika juhudi za kuzuia msambao wa ugonjwa wa Ebola unazidi kushuhudiwa katika maeneo ya mpakani mwa Kaunti ya Busia na nchi jirani ya Uganda. Licha ya serikali ya kaunti hiyo kutangaza kuwa imeweka mikakati madhubuti ya kudhibiti ugonjwa huo, hali ya kawaida inaendelea kushuhudiwa katika kivukio cha Mulwanda, eneo Bunge la Funyula, pamoja na vichochoro vya mpakani. Na kama anavyoarifu Jane Cherotich, wasafiri wanaovuka ziwa kati ya Kenya na Uganda hawafanyiwi ukaguzi.

Share: