Kenyans Live

Mwakilishi wa Kike Kisii Dorice Donya ataka hatua dhidi ya wizi wa mitambo ya umeme

Description (show more)

Mwakilishi wa Kike Kaunti ya Kisii Dorice Donya sasa anataka idara ya usalama na kampuni ya Kenya Power kushughulikia wizi wa mitambo ya kusambaza umeme Kisii hususan maeneo ya Bonchari.

Share: