Kenyans Live

Wanasiasa Narok waonywa dhidi ya kuwatumia vibaya vijana

Description (show more)

Viongozi kutoka mirengo tofauti ya kisiasa Kaunti ya Narok wamekashifu kwa sauti moja aina za uchochezi kutumia na kupitia vijana katika mitandao na mikutano ya hadhara na baadhi ya wanasiasa.

Share: