Kenyans Live

Amri za kukamatwa kwa Joram Kamau na Henry Ateka Nyabwari zatolewa

Description (show more)

Amri ya kumkamata joram kamau na henry ateka nyabwari zimetolewa huku wakitarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo. Washukiwa wengine wawili wakisomewa mashtaka katika mahakama ya milimani, katika kesi ya watu watano wanaotuhumiwa kuhusika na udanganyifu wa kuiba fedha za kra.

Share: